Seebait.com - Southern Africa Startup Awards | Digital Advertising NetworkSeebait.com shortlisted for the Startup of the Year in the Southern Africa Startup AwardsVOTE FOR SEEBAIT.COM

Seebait.com, one of the leading digital advertising companies in Tanzania, has been shortlisted to contest for a spot to represent Tanzania in the inaugural edition of Southern Africa Startup Awards.

A statement issued by Seebait.com’s spokesperson in Dar es Salaam said they were chosen out of over 3,200 nominations.

He said they were chosen by a jury panel of peers and experts, to be among highest caliber startups, startup supporters, founders and investors who may represent Tanzania in one of 14 categories at the Southern Africa Startup Awards taking place on the 21st and 22nd of November in Johannesburg.

He called on Tanzanians to vote for their own to enable Seebait.com scoop various awards at this international event that will be the first to be conducted by the Southern Africa Startup Awards.

Those who want to vote, should according to the spokesperson visit http://bit.ly/SeebaitVote

He said voting is open until Friday the 4thof September and that the results of this voting window as well as each country’s national jury panel will produce winners in each category, who will represent their country in the regional awards and perhaps in the global awards.

According to Southern Africa Startup Awards, there will also be People’s Choice category up for grabs!

“The results of the national rounds will be communicated by the Southern Africa Startup Awards country partners once the voting and adjudication are completed.

Seebait.com was launched in 2015 to introduce a connection between advertisers and publishers where advertisers would upload their adverts at one portal and have them run across a wide variety of online portals hence making it easy to adjust campaign parameters as advertisers see fit while at the same time allowing publishers to focus on preparing content for their visitors and get paid fairly for their efforts.

Seebait.com is the highest rated startup in Tanzania as per the global start up ranking https://www.startupranking.com/seebait
Tafsiri : Seebait yachaguliwa kuwania Southern Africa Start Ups Awards

Seebait.com, moja ya makampuni yanayo ongoza katika matangazo ya mtandaoni, imechaguliwa kuwania nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika tuzo zijulikanazo kama Southern Africa Startup Awards.

Taarifa iliyotolewa na msemajiwa Seebait Jijini Dar es Salaam, ilisema kuwa Seebait imechaguliwa kati ya washindani wengine 3,200.

Alisema walichaguliwa na majaji na wataalamu kuwa miongoni mwa makampuni mengine ili wapate nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika kipengele kimoja kati ya 14 katika Tuzo hizo zitakazofanyi ka Novemba 21 na 22 mwaka huu huko Johannesburg, Afrika Kusini.

Alitoa rai kwawa tanzania wawapigie kura kwa wingi ili Seebait ipate nafasi hiyo muhimu katika Tuzo hizo za kwanza kuandaliwa za Southern African Start Up Awards.

Kwa watakaotaka kupiga kura, wanatakiwa kwamujibu wa msemaji kutembelea http://bit.ly/SeebaitVote

Alisema upigaji kura umeanzarasmi na zoezi hilo litakamilika siku ya Ijumaa Septemba 4 na kuwa matokeo yatatangazwa na jopo la majaji waliochaguliwa kilanchi ilikupatawashindani wakilakipengele ambao watawakilisha nchi zao katika ngazi za kanda na pengine katika hatua ya dunia

Kwa mujibuwa Southern Africa Start Up Awards,kutakuwa na kipengele cha Shirika ambalo ni Chaguo la watu (People’s Choice Category).

“Matokeo yatatangazwa na wabia wa Southern Africa Start Up Awards mara baada ya upigaji kurakukamilika,” alisema.

Seebait ilianzishwa mwaka 2015 kama kiunganishi kati ya watoa matangazo na wenye majukwaa mbalimbali kama tovuti na blogs ili kuhakikisha watangazaji wanapata jukwaa kubwa zaidi la kutangaza bidhaa au huduma zao na wenye majukwaa haya wanapata wasaa mzuri wa kuandaa maudhui bora kwa wa tembeleaji wao, pia wa kitangaza bidhaana huduma mbalimbali kupitia majukwaa yaonakupa tastahiki zao vikamilifu.

seebait.com inashikilia na fasi ya kwanza kwa Tanzania kwenye chati za Global start up ranking, https://www.startupranking.com/seebait


Seebait.com is a product of Emglobe Tanzania Limited. All rights reserved © seebait.com 2018